Nilikua napita tu, ila avatar yako imenichekesha kinomoumer!Fataki akiwa ananyatia watoto wadogo anachomeka fimbo mgongoni then anaanza somo, mtoto aking'aka tu kwamba naenda kusema anatoa fimbo 'wewe una bahati ningekuchapa ile mbaya kama ungekubali kumbe wanakusingizia' sasa maneno akikubali fimbo haileweki ilipo potelea,,,,,,,,
Ukiipata na ingine ilete (ya kifataki) mkuu. Nimejifunza kitu hapa.
naona umejifunza jinsi ya kuvpata kirahisi