Torero
Senior Member
- Dec 22, 2017
- 122
- 138
Ndugu,
Leo ninewakumbuka sana wakina David Kafulila na Julius Mtatiro. Wapo wapi hawa siku hizi siwasikiiagi Mara kwa Mara . Mwenye kujua habari zao wako wapi aniambie. Nawapendaga sana hawa
Sent using Jamii Forums mobile app