Akina Dada Single Tuoneane Huruma

Umeelewa vibaya wewe...

Non verbal conducts ni zile afanyazo mtenda na wala sio mtendewa...na lazima liwe ni tendo dhahiri sio tendo hisishi au zahania.

Definition ya sexual harassment ni hii wakubwa,,,,,unwanted conduct of a sexual nature, or other conduct based on sex affecting the dignity of women and men at work. This includes unwelcome physical, verbal or nonverbal conduct.Hii ndo shida wakuu.
 
Jamani labda mwenzenu ni mdhaifu hawezi vumilia dady watu8 kila mtu na ujasiri wake wa kujiheshimu lakini anachozungumzia ni kweli
si unajua baadhi ya wadada maofisini nguo wanazovaa? hatari sana mkuu yaani nouma vibaya mno.

kama serikalini wametoa mwongozo kwa mavaz ya kiume na ya kike,,,even jeans haziruhusiwi
 
Last edited by a moderator:
hahaha watu8 hapo kwenye kuzishka na kuzichezea papuchi za wanawake ndio huwa pananisababisha natamani madaktari wote wahasiwe

tuendelee kuwasomesha wadada kwenye fani ya udakitari na uuguzi
 
Last edited by a moderator:
We bwana weee hebu acheni porojo...mbona ndugu wa kike akivaa hivyo huwa unajizuia kumtamani.

Dawa yao hao wadada ni kuwalia ganzi tu wajione kama mbuzi wa kisusio anayesubiri bisu kutenganisha koromeo lake...

Huyo ni ndugu kwa vyovyote vile utajitahidi jamani lakini mtu wa pembeni hapana chezea weweeeeee!lazima chapa isimame!
 
Mbona na sisi wanaotusimamisha na kututongoza ni hao hao wanaovaa pete?
Halafu unasema uonewe huruma kwani unashikwa kwa nguvu? Pete pia is not a justification to ur conducts Mbona hata Kapuya anavaa.

Haaaaaaaaaaaaaaaa, umenikuna sana aisee
 

A doctor should have more dignity than this, and more respect for his patients.

Kama wewe ni daktari kweli, si ajabu heshima ya udaktari inapungua siku hizi.

Hivi kuna "doctor patient" confidentiality anymore? Kuna hata common decency?

Wanawake waliokuwa wanaogopa kwenda kwa ma gynecologist wanaume kwa kuhofia kuonwa utupu wao watajisikiaje baada ya kusoma hapa?

Tutake radhi tunaopenda ustaarabu, watake radhi wanawake, itake radhi jamii ya utabibu.

Hivi ndivyo mnavyofundishwa med school?
 

Kweli wewe Kiranga wa ukweeeeeee!!!!
 
Last edited by a moderator:
ujumbe nilioukusudia umefika...hilo ndio la muhimu

 
Mkuu we ndo umeelewa vibaya,,hebu soma hapa tena,msisitizo uko kwenye bold na rangi:Conduct of a sexual nature includes a range of behaviors or actions, since there is a very wide range of activities which are expressions of sexuality or have sexual connotations in our society. Therefore, behavior which may appear relatively innocent (such as joking, innuendoes, flirting and asking someone on a date) to behavior which is blatantly illegal (such as forced fondling, attempted or actual rape and sexual assault) can all constitute conduct of a sexual nature. In order to qualify as sexual harassment the behavior must be deliberate and/or repeated. Some forms of sexual behavior are so offensive that the first time they occur they are considered deliberate, inappropriate, and sometimes even illegal actions. Other behaviors must be repeated over and over again before they become harassment.Whether a particular behavior is defined as sexual harassment depends largely on whether the behavior is unwelcome to the target, along with the circumstances surrounding those evens. Unwelcome behaviors, which are considered sexual harassment, can be of verbal, non-verbal, physical, or visual nature.
Umeelewa vibaya wewe...

Non verbal conducts ni zile afanyazo mtenda na wala sio mtendewa...na lazima liwe ni tendo dhahiri sio tendo hisishi au zahania.
 
Hii definition isome in relation to the main post mkuu ingawa tradition definition ya Sexual harassment ina wazungumzia wanawake kama ndo victim,,the modern definition inazungumzia jinsia zote definition mkuu.
Umeelewa vibaya wewe...

Non verbal conducts ni zile afanyazo mtenda na wala sio mtendewa...na lazima liwe ni tendo dhahiri sio tendo hisishi au zahania.
 
Nina booklet la katiba ya Tanzania hapa lenye kufafanua hizo sexual harrasements...sifanyi googling kama wewe ambapo si ajabu ukakutana info ambazo zipo general sana.

 
Hata Sheria Na 47 ya mwaka 1954 kifungu cha 3 na Sheria Na. 4 ya mwak 1998 kifungu cha 9...kinaelezea wahanga wanaweza kuwa wa jinsia mbili.
Hivyo bado unaweza kuona nipo sahihi kiasi gani...

Nanukuu;
1. Mtu yoyote ambaye kwa makusudi ya kusababisha shambulio la kijinsia la aibu kwa kutoa maneno au sauti, kuonyesha ishara yoyote ambayo itaonekana na mtu mwingine atakuwa ametenda kosa la shambulio la kijinsia na akipatikana na hatia atawajibika na kifungo kisichozidi miaka mitano au faini isiyozidi laki tatu au vyote viwili, kifungo na faini.

2. Endapo kosa la shambulio la kijinsia chini ya kifungu hiki litamhusu mvulana au msichana wa umri wa chini ya miaka kumi na nane, haitakuwa kinga kumshitaki mvulana au msichana hiyo aliridhia kitendo kilichosababisha shambulio la kijinsia.

Hii definition isome in relation to the main post mkuu ingawa tradition definition ya Sexual harassment ina wazungumzia wanawake kama ndo victim,,the modern definition inazungumzia jinsia zote definition mkuu.
 
Inatokea lakini ukiwa na msimamo huwa hawaendelei.kwa mfano akikutumia sms ya mapenzi usijibu,mkikutana kwa ofsi fanya mambo yako na salam yako iwe kama ndo mara yakwanza kuonana,ila ukianza oh jana nimechelewa usafiri oh mara nilichoka sana unampa nafasi. Be busy and mind your business they will not rape you guy.
 
Ni kuwachunia tuu! We mara lunch pamoja, lift ya kwenda na kurudi kazini unategemea nini?
Unawa entertain mwenyewe
 
ujumbe nilioukusudia umefika...hilo ndio la muhimu

You don't get to decide kipi muhimu once professional ethics are concerned.

Hakuna ujumbe wowote zaidi ya kujishebedua tu kwamba wewe daktari.

Wakati hata ethics za udaktari huzijui/huzifuatilii.Noblesse Oblige. With privilege comes responsibility.

You are flashing your privilege irresponsibly. Huelewi uzito wake. No wonder madaktari wanapoteza heshima siku hizi.

Daktari mwenye nia ya kufikisha ujumbe hajazuiwa kufikisha ujumbe bila kudhalilisha wagonjwa wake.

Kulikuwa na ulazima gani wa kutumia lugha ya udhalilishaji vile?

Frankly I find it hard to believe that you are an actual doctor.

But then again with all the newly fangled doctors describing their patients anatomy and ailments for the amusement of fellow beer drinkers at bars, who knows, you might very well be of that ilk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…