Persanal appearance yake tu ikiwa n mara ya kwanza nakutana nae
Mkuu chakii
Ungeuliza pia wanaume waliofanikiwa kuwapata, ungepata majibu murua zaidi. Ila pia nadhani kujiamini ni kitu kikubwa sana kinachosaidia kuwapata. Unaweza ukawa na pesa lakini ukaambulia patupu.
Jiamini, kuwa smart hela sio lazima sana hizo ni additional features tu. Na usmart sio wa kupiga pamba tu.
Pesa tu yatosha, vingine ni kadhalika tu...
Hicho ni kipaumbele chako bidada usitusemee na wengine jisemee nafsi yako
Persanal appearance yake tu ikiwa n mara ya kwanza nakutana nae
usijidanganye dada yangu siku hizi matapeli na wazinzi ndo wanatengeneza appearance nzuri ili wawakamate vizuri (jichunge sana....) kaa na mtu ujue tabia yake kwanza appearance unaweza kumbadilisha UTAKAVYO.
Pesa tu yatosha, vingine ni kadhalika tu...
Tokezea ukiwa na gari