Akina dada na usafiri wa 'bajaj' vipi?

Akina dada na usafiri wa 'bajaj' vipi?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Nimepita pita hapa mjini 'Mzizima' na kugundua kumbe akina mama hasa dada zetu wanapendelea mno usafiri wa pikipiki aina ya 'bajjaj' sijui kwa nini. Mwenye kuelewa jambo hili atujuze.
 
Mkuu jioni njema, vipi leo hebu nijuze Mzizima ni wapi exactly?
 
Ni usafiri rafiki (user friendly) kwa kinadada kutokana na maumbile yao na aina ya nguo wanazovaa as opposed to bodaboda linapokuja suala la usafiri private na wa bei nafuu na kama taxi zingekuwa bei nafuu nadhani wengi wangekuwa wanajaa kwenye taxi
 
Mkuu, nimefarijika na mchango wako.
 
Ni Dar Es Salaam, hili ni jina la Kiarabu ambalo halibadilishwi kama tunavobadili mitaa yake.
Jioni njema mpendwa, Vilivyo hakika nilipatakusoma na kulisikia katika qura'an hata English version .... Jina lina hadhi kubwa... Basi ndiyo Urithi ulobakia.
 
Nimepita pita hapa mjini 'Mzizima' na kugundua kumbe akina mama hasa dada zetu wanapendelea mno usafiri wa pikipiki aina ya 'bajjaj' sijui kwa nini. Mwenye kuelewa jambo hili atujuze.

Mi si mdada ila kama nakwenda kwenye grocery/bar si mbali na nyumbani mara nyingi sijiendeshi hivyo napanda Bajaj. Je, kuna kosa?
 
Ni usafir wa haraka&nafuu pia,women prefered bajjaj while men are for motorcycle...!!Matukio mengi sn ya ck za karibun mf mtu kushambuliwa kwa risas,tindikal etc washambuliaj(wanaume)wanakuwa kwenye pkpk
 
Yawezekana mkuu maana majuzi wakati nikielekea Bunju kila bajaj niliyoiona ni akina mama na akina dada hasa pale Kibaoni.
 
Mi si mdada ila kama nakwenda kwenye grocery/bar si mbali na nyumbani mara nyingi sijiendeshi hivyo napanda Bajaj. Je, kuna kosa?
Mkuu hapo (bolded) tufafanulie wewe ni aina gani ya chombo cha usafiri.
 
hili swali ni la ajabu sana...kwani we unapendelea kuzunguka na usafiri gani hapa ardhini?gari binafsi,pikipiki,bajaj,baiskeli,dala dala? na kwa nn unapendea usafiri huo?
 
Gari langu mara nyingi siliendeshi kama nakwenda sehemu si mbali na nyumbani haswa ukizingatia foleni na kupark kwenye bar kwani nahofia kung'olewa sight mirror na starter usiku, hivyo napanga bajaj.
 
hili swali ni la ajabu sana...kwani we unapendelea kuzunguka na usafiri gani hapa ardhini?gari binafsi,pikipiki,bajaj,baiskeli,dala dala? na kwa nn unapendea usafiri huo?
Dala dala mkuu.
 
Back
Top Bottom