Washindwe na walegee tabia yao iyo ya kuvaa midela View attachment 1051909
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini wake za watu...
aisee...Kwenye nyumba za kupanga ndio mavazi yao sijui ndio mikataba ya wenye nyumba inaelekeza ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawaruhusu ndio maana wanatoka nayo ndan wanatetemaaisee...
Lakini wame na wachumba zao wanawaruhusu wavae!!!!
Mi sielewi kabisa...Aisee nimekutana na mdada hapa shoppers plaza kwenye ATM hilo dera kama kanga yani unaona kbs mpk chu.pi.
Hivi siku hizi hamna magagulo?
Aah acha bwana wee ....umeona jinsi tako lilivyovaa lapa hahahaAisee nimekutana na mdada hapa shoppers plaza kwenye ATM hilo dera kama kanga yani unaona kbs mpk chu.pi.
Hivi siku hizi hamna magagulo?