Akina Dada na haya Madera mnayovaa siku hizi

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,364
12,473
Yako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani

Lakini nimegundua kabisa madera haya yanayoakisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani.

Pia nimefahamu siku hizi hamvai underskirts...wala tight ambazo atleast ziyashikilie makalio yasichezecheze.

Sasa swali.

Hivi kwanini mnatufanyia hivi !?? Mnatutaka nini.!?

Na vi chupi hivi mnavyovaa siku hizi ni kama kamba yani unaona kila kitu.

Kwakweli hili lijadiliwe hapa.

Nia yenu ni nini hasa!?
 
Ni hatari kweli...kuna binti kasmama mbele yangu hapa..hadi nikasema bas tu
kuna dada kaja dukan kwa mangi jana usiku kalivaa, aisee ni hatari..! Halafu mke wa mtu.. nliona mpaka caldera.!
 
Washindwe na walegee tabia yao iyo ya kuvaa midela
IMG-20190322-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom