gambakhuffu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2010
- 509
- 547
Hakuna kitu kinachoniboa kama mwanamke avae nguo na chupi inaonekana au maziwa nje na hajavaa kitu ndani.... nachukia sana na naishia kumwangalia na kumshangaaa yaani naendelea kumwangalia mpaka apoteee .... shenzi taipu