Digna nimeishaudhuria harusi nyingi ukifika wakati wanataja marafiki wa Bibi Harusi waje mbele nakwambia utakuwa unabaki kutoa macho maana SHOW OFF inayokuwa hapo mbele thubutu tu wasiambiwe wacheze mziki utakoma kuwafahamu anywayz wengine wanaweza wasiwe na nia mbaya lakini huwa wanasema FIRST IMPRESSION always counts.Haya! Kama ni rafiki wa bibi harusi, basi ndo picha ya huyo bi harusi wenu. Kumekucha. :coffee:
Mambo kama hayo yanatokea kwenye harusi nyingi tu na mara nyingi hao wadada wanakuwa ni rafiki wa Bibi Harusi kama alivyosema Desidii kwamba biashara matangazo kila mtu anataka kuonekana mkali kuliko mwenzake
Unajua mtu akiwa anafanya kitu kwake yeye anaweza kuona ni sawa kwamba anaku-IMPRESS wewe kumbe ndio anaku-DISCOURAGE zaidi kila mtu huwa ana fikra tofauti yeye kukaa uchi anaweza aone sawa tu kwamba ndio njia sahihi ya kuweza kumpata mwanaume kumbuka us HUMAN BEINGS WE ARE NOT THE SAME WHEN IT COMES TO THINKINGHivi mpwa ukali wa hao wakinadada,
unaweza kudhihirishwa kwa kukaa uchi kweli?
:mullet::mullet::mullet::mullet::mullet:Wajameni, last week-end nilihudhuria harusi moja hivi, nilipo fika ukumbini, nilikutana na wanadada takribani wote wamevalia vinguo vya utatanishi!!!? Wengi wao walivaa nguo za kubana sana na trasparency yaani zinaonyesha kufuli zao zilipo anzia hadi zilipoishia, na wale waliovaa chachandu nazo zilikuwa zinaonekana wazi wazi! Ilipo fika wakati wa kujimwaga, wakawa wanashindani kukata mauno mbele ya wanaume, huku wakiinama wakiwa wanajua kabisa kuwa wamevaa vimini tena vya hatari!
Wadada lengo lenu hasa ninini hapo? Kuwatamanisha wanaume? Kuonyesha kwamba mnajua kukata mauno??????????????:mullet::mullet::mullet::mullet:
Unajua mtu akiwa anafanya kitu kwake yeye anaweza kuona ni sawa kwamba anaku-IMPRESS wewe kumbe ndio anaku-DISCOURAGE zaidi kila mtu huwa ana fikra tofauti yeye kukaa uchi anaweza aone sawa tu kwamba ndio njia sahihi ya kuweza kumpata mwanaume kumbuka us HUMAN BEINGS WE ARE NOT THE SAME WHEN IT COMES TO THINKING
Poleni sana WAUME ZETU
tunajitahidi kuyashinda majaribupoleni sana waume zetu
Pole ya nini FP?