Jamani, hawa watu ndo walienda mahakamani kupinga kampuni ya Yanga Yetu iliyokuwa chini ya Manji! Inawezekana kuna baadhi ya vipengele vya katiba vilikiukwa ila lilikuwa suala la kuufuata uongozi na kuyaweka mambo sawa na sio kwenda mahakamani.
Leo Manji kaondoka na pesa zake, Chacha na Akilimali mtuletee tajiri wenu ainusuru Club na mkishindwa basi kuanzia leo nyie ni maadui namba moja wa club ya Yanga!
Muda mwingine wanachama wa Yanga acheni kukurupuka!