mayenga
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 4,118
- 1,966
Nataka tu kujua,hivi akili iko katika hali gani?(in which state),tumezoea kuona vitu viko kwenye hali mbalimbali kama kimiminika,uyabisi au hewa etc.Sasa akili iko katika hali gani.?Ni mara nyingi nasikia kwamba inabidi fulani akapimwe akili.In which state it belongs and which measurement is employed in reaching the exact figure?volume?!!!!!!!!!!!!!
Kindly help Iam dead of clarification!
Kindly help Iam dead of clarification!