Akili zetu wanaume zinatutosha wenyewe, we acha tu!


Kwa hiyo wewe ukikutana na dada yako anatoka gesti utampongeza?
 
Wanaume wa namna hiyo huwa wanataka dada zao tu. Kwa maana dada asipopata bf ni nani sasa wa kumuoa kama kila anayesimama naye anafuatiliwa kwa vitisho lukuki na kaka mtu. Ova.
 
Siyo wote. Mdogo wangu baada ya kumaliza form six na kuanza chuo niligundua kuwa anadate na mtu, nilichofanya nilimuomba anambie kama ana bf. Alisita na kuogopa sana. Nilimwambia intention yangu alikubali na kunipa namba yake.

Nilimpigia jamaa na kumuuliza abt my sister kwanza alisita maana sisy alishamwambia abt me lakini baadaye alikubali.

Nilimuonya kuwa huyo ni dadangu wa pekee na nampenda kuliko. Kama anafikiri ni uwanja wa mazoezi amwache mara moja kwani sitakuja vumilia akimuumiza. Jamaa alishukuru na kunambia ampenda sana.

It was in 2005, mwaka 2009 walifunga ndoa na sasa wana mtoto mmoja na ni marafiki zangu sana. Shemeji yangu ananiheshimu sana.
 
mm ninadhan anaye kuwa na uchungu na ww anapenda uwe kama yy kama anatabia nzuri na anapenda usiwe kama yy kama anatabia mbaya, sijawahi sikia kaka anachukia kama dada yake anaolewa ila anachukia dada yake kama anachezewa ingawa yy anachezea wa wengine!
 
Kwa hiyo wewe ukikutana na dada yako anatoka gesti utampongeza?

ntachukua hamsini zangu, maana na wewe si utakuwa unatoka huko huko guest, hasira za nini sasa wakati wote mnatoka kuenjoy sex?
 

Hongera kwa kuwa na busara na matokeo yake ndo hayo, ni kama wewe ulikuwa catalyst kwa huo uhusiano wao. Ungejidai kimbelembele usikute jamaa angeamua kufanya mazoezi then angetambaa zake
 
kweli kabisa ullijuaje?tena kama mmezaliwa baba mmoja na mama mmoja.

Na hii ya kwamba 'wanawake wote mwalimu wao mmoja' imekaaje?...........mmeanza wenyewe maana uelekeo ulikuwa mzuri mmeanza kuugeuza!
 
Nyie watu nyie, haya bana.

mimi mwanangu wa kike nitamlinda tu hata mseme sisi wanaume ni washenzi.

Nikikamata kakijana kanakula mwanagu under 18 na mimi nakakula, shenzi zake!!!
Ukimla mwanangu, na mie nakukula wewe........chezea uone habari yake.
 
Nyie watu nyie, haya bana.

mimi mwanangu wa kike nitamlinda tu hata mseme sisi wanaume ni washenzi.

Nikikamata kakijana kanakula mwanagu under 18 na mimi nakakula, shenzi zake!!!
Ukimla mwanangu, na mie nakukula wewe........chezea uone habari yake.

Pole sana kaka, hapa tunaongelea wale ambao ni above 18, wenye hisia zote kamili za kike kuhusu mapenzi na wenye maamuzi ya kiutu uzima awe na nani ktk hayo mahusiano yake
 
hiyo hasira inatokana na homoni inayoleta wivu kwa mwanamme testosterone kama cjakosea
 
They are selfish. Na inaonyesha wanachokifanya kwa dada za wenzao ni usanii, thats why wanaumia kwa dada zao.


Hapana Remmy,

Wanaume wengi hasa katika umri mdogo hudhani kwamba wanawake wanaumia sana wakati wa sex. Kwa hiyo wako tayari kuwaumiza watoto wa watu wengine ila dada zao na watoto wao wasiumizwe.

Ni baada ya kujipatia chumvi ya kutosha kama sie unapogundua (real discovery) kwamaba sex ni raha kwa wote inapofanyika kwa hiari na katika mazingira stahiki!!!

Babu DC (1947)!!
 
oya lazima kiume hata kama na wewe umetoka kufanya hicho kitendo.wengi wetu tunawachezea tu dada za watu so ukimwona sista yako na njemba lazima uogope kuwa na yeye anachezewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…