Naam!
nmeota hivyo leo Mchana kipindi nmepitiwa Usingizi Baada ya kushiba ugali wa mtama na nyama ya kuchoma apa Stendi ya Nyamhongolo Jijini Mwanza Nikiwa safarini kuelekea kumsindikiza mgombea mwenza!
Ndoto yangu imenionesha hakuna namna nyingine ya kufukuza huu upepo tofaut hiyo ya kumuachia Shujaa TL mana kujibu haiwezekani na ata tukijibu ni ngumu kueleweka kwa umma!
Vp mbeumo uko kashaweka?!!