JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,844
BMW ilianza kama kampuni ya kutengeneza engines kabla ya kuanza kutengeneza magari.. Kwahiyo likija swala la engines hapo ndio penyewe..!
Engines za BMW zina character ya tofauti.. Zinahitaji uzipush.. BMW sio gari ya kuendesha kama Toyota kwenye 2500rpms.. BMW engine inakuwa alive kuanzia 4000rpms mpaka redline bila kukata puff..
Head design yao ni hatari.. flow ya hewa kwenye engines zao ni unmatched..!
Engines za performance kwa Toyota kama 3sgte..3M kwenye Toyota 2000GT..1LR kwenye Lexus LFA.. Imebidi ashirikiane na Yamaha.. Kupata head nzuri..!ndio maana ukiendesha 3gste unapata kusmile jinsi engine inavyobehave.. Inapumua vizuri.. Character ya BMW..
Mwisho kabisa.. Toyota Supra ambayo ni legendary/icon kwa Toyota imekubali kuwa powered na mashine ya Bavaria..wamenyoosha mikono hapo..!
Najua wapenzi wa BM wanaweza nishambulia ila haya ni maoni yangu:Zinakwama Land cruiser maporini huko anazungumzia Bima watu wengine bhana kwa hiyo anataka kuaminisha jamii kuwa hizi gari za starehe kama server ya TRA inavyotambua iende kwenye matope huko isikwame wakati pana muda hata Land rover unafikiri upite au ugeuze maana anaweza kupita popote ni Nissani chura..na Nissan nyingi zipo sawa kwenye tope..
Sawa baki na maoni yako mkuu unataka kusema ni bora uwe na gari ya miaka 15 nyuma kuliko X 4 ya 2022 sawa sawa Mkuu...Najua wapenzi wa BM wanaweza nishambulia ila haya ni maoni yangu:
Kama unahitaji luxury, speed ni sawa tu. Ila kama ww ni mtu ambaye wakati mwingine unasafiri na unapoenda ni offroad ni gari ya kijinga. Toyota LC LX ni option swadakta kwa mtu wa aina hii japo bei ni kubwa. Mm huwa naona kluger ni gari zuri kuliko X series yoyote kwa mazingira yetu.
Binafsi bora nikanunua LC LX used mkononi kwa mtanzania tena namba A iwapo ina hali nzuri kuliko kununua BM x series yoyote mpya.
Boss wangu, X4 ya 2022 na LC lx ya 2007 nachukua lc ya 2007 tena isiwe mpya wala. Mkononi mwako wewe mtanzania kama itakuwa na hali nzuri hata iwe namba B sijui A.Sawa baki na maoni yako mkuu unataka kusema ni bora uwe na gari ya miaka 15 nyuma kuliko X 4 ya 2022 sawa sawa Mkuu...
Yap hiyo gari vijijini inaaminiwa sana Mkuu hapo umechanganya mada kwa gari ya kazi na ya kutokea sijui kama hiyo ya 2022 ipo Tanzania ingawaje niliziona mbili Arusha za 2020..na daslm kadhaa za 2020 kushuka chini hivyo vyuma ni balaa mimi nipo na LC ndio nazibeba sana kwa ajili ya kukata bodi kuziweka au kuwauzia makampuni ya utalii ila pana mawe kama Audi Q series kama hiyo 5,BMW aisee hayo madude yasikie tuu..yana confort sana pamoja na balance ya kutosha..Boss wangu, X4 ya 2022 na LC lx ya 2007 nachukua lc ya 2007 tena isiwe mpya wala. Mkononi mwako wewe mtanzania kama itakuwa na hali nzuri hata iwe namba B sijui A.
Ni kweli. Ndo maana nilisema unaponunua gari angalia matumizi yako. Mambo kama kipato chako, utalitumia kwenye mazingira gani, mafundi, spea, alternative iwapo lina hitilafu ndo yakuongoze kufanya maamuzi.Yap hiyo gari vijijini inaaminiwa sana Mkuu hapo umechanganya mada kwa gari ya kazi na ya kutokea sijui kama hiyo ya 2022 ipo Tanzania ingawaje niliziona mbili Arusha za 2020..na daslm kadhaa za 2020 kushuka chini hivyo vyuma ni balaa mimi nipo na LC ndio nazibeba sana kwa ajili ya kukata bodi kuziweka au kuwauzia makampuni ya utalii ila pana mawe kama Audi Q series kama hiyo 5,BMW aisee hayo madude yasikie tuu..yana confort sana pamoja na balance ya kutosha..
Jamaa yangu hapa kariakoo alikuwa na Toyota crown athlete akauza akanunua BMW 320i huwa anaisifia Sana BMW yake kwenye handling na balance.BMW ilianza kama kampuni ya kutengeneza engines kabla ya kuanza kutengeneza magari.. Kwahiyo likija swala la engines hapo ndio penyewe..!
Engines za BMW zina character ya tofauti.. Zinahitaji uzipush.. BMW sio gari ya kuendesha kama Toyota kwenye 2500rpms.. BMW engine inakuwa alive kuanzia 4000rpms mpaka redline bila kukata puff..
Head design yao ni hatari.. flow ya hewa kwenye engines zao ni unmatched..!
Engines za performance kwa Toyota kama 3sgte..3M kwenye Toyota 2000GT..1LR kwenye Lexus LFA.. Imebidi ashirikiane na Yamaha.. Kupata head nzuri..!ndio maana ukiendesha 3gste unapata kusmile jinsi engine inavyobehave.. Inapumua vizuri.. Character ya BMW..
Mwisho kabisa.. Toyota Supra ambayo ni legendary/icon kwa Toyota imekubali kuwa powered na mashine ya Bavaria..wamenyoosha mikono hapo..!
Usifananishe BMW 320i na vitu vya ajabu ajab, hasa ukute 320i GT ... mwanawane ni motooJamaa yangu hapa kariakoo alikuwa na Toyota crown athlete akauza akanunua BMW 320i huwa anaisifia Sana BMW yake kwenye handling na balance.
Nimeshindwa kujua inakuaje crown inapishana kwenye balancing na BMW yenye engine ndogo kama 320
Za 2014 kuja juu ushuru tu shikamoo. Hapo tunaongelea base model mfano 320i.Isiwe tu kama ya Mad Max , unatembea na kidumu cha coolant.. hasa upate za kuanzia 2014 kuja juu..
Hapo nahisi sababu ni small size ya 3 series.. Suspension system..Jamaa yangu hapa kariakoo alikuwa na Toyota crown athlete akauza akanunua BMW 320i huwa anaisifia Sana BMW yake kwenye handling na balance.
Nimeshindwa kujua inakuaje crown inapishana kwenye balancing na BMW yenye engine ndogo kama 320
Za 2014 kuja juu ushuru tu shikamoo. Hapo tunaongelea base model mfano 320i.
Ukitaka performance model je.
Jiulize kwann E90 zipo nyingi ila F30 za kuhesabia? Yaani mjini ukikutana na 3 series 10 basi 9 ni E90 au unaweza kuta zote 10 ni E90.
Sawa baki na maoni yako mkuu unataka kusema ni bora uwe na gari ya miaka 15 nyuma kuliko X 4 ya 2022 sawa sawa Mkuu...
Niliwahi kuandika humu ngoja nikutafutie link tajiri. Uzuri nimemiliki yote ila F30 kwa muda mfupi sana ila E90 na E46 kwa zaidi ya miaka 3 each.Mkuu hebu tuambie kidogo utofauti wa E90 vs F30
Tupe summary review tupate mwanga asee
Mkuu hebu tuambie kidogo utofauti wa E90 vs F30
Tupe summary review tupate mwanga asee
Karibuni tujuzane kuhusu BMW 3 Series
Wakuu Habari. Leo nilipenda tujuzane kidogo kuhusu BMW 3 Series. Kila mtu aliewahi kumiliki au kuendesha au ata kama kuna fundi aweze kutupatia Experience yake kidogo kuhusu hizi gari. Hii itawasaidia waliokua na wazo la kununua hizi gari au wamiliki waweze kupata mwongozo zaidi. Mi nitaanza...www.jamiiforums.com
Kitu ambacho hujui ni kuwa; sio kwamba watu hawajui magari mazuri na ImaraHii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented..
Ultimate Driving Machine..!
Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele kwenye bonnet.. Mbele huko kuna engine ambayo inatoa joto kali sana..Battery inakuwa exposed na joto la engine na kusababisha lifespan ya battery kupungua..!
BMW akili nyingi wanaweka battery nyuma.. Inasaidia kudumu zaidi.. Pia ni advantage kwa wale wanaofunga mziki mnene..utatumia wire mfupi sababu battery na amplifier vyote vipo nyuma..!
Engines zao ni Inline 6.
Kampuni nyingi zimehama kwenye engine configuration..BMW hawa mpaka leo hawatengenezi V6.. Wamebaki na I-6.. Power delivery yake ni very smooth.. Engine iko well balanced.. Ndio inafanya huchoki kueindesha gari huku unasmile usoni..!
Gari zao ni RWD.
BMW almost zote zina engine mounted North to South.. Then drive shaft inapeleka power kwenye tairi za nyuma.. Kwahiyo tairi za nyuma ndio zinaendesha gari huku za mbele zinaongoza gari.. Huu mgawanyo wa majukumu unaleta balance nzuri sana kwenye gari.. Gari inakuwa na uwezo wa kuhandle power kubwa.. Kuvuta mzigo mkubwa.. Manoeuvring kirahisi zaidi barabarani.. Kudrift n spin kirahisi..hata matairi yanaisha taratibu.. Kiujumla gari inakuwa tamu tofauti na gari inayoendeshwa na tairi za mbele FWD..! Gari inasukumwa na sio Kuvuta..!
Kutokana na akili yao nyingi Ninaomba tuendelee kuwaunga mkono kwa kununua gari zao kwa wingi..!
Hivyo ni vizazi viwili tofauti.,Mkuu hebu tuambie kidogo utofauti wa E90 vs F30
Tupe summary review tupate mwanga asee