Akili ni nywele kila mtu anazake.

Japo kwa wengi tutapata shida ya akili yake



Tuneisha ibiwa sana madini ninahofu hata akili pia
 
Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.

Nanukuu : Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?

Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign agreement without a security.

By Chenge
 

Mmhhh ngumu kumeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…