Akili ni nywele kila mtu anazake.

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,910
1517928960dd90ea34976fa17e2a391b.jpg

Mwingine unapo waza utatokaje kimaisha mwingine yeye anawaza kuvalia suluari chini ya goti.
 
Japo kwa wengi tutapata shida ya akili yake

Tuneisha ibiwa sana madini ninahofu hata akili pia
 
Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.

Nanukuu : Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?

Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign agreement without a security.

By Chenge
 
Mmhhh ngumu kumeza.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom