Akili mnemba ni tool tu...

Akili mnemba ni tool tu...

AI ni sawa na wewe ni Mfalme, na AI ni kijana wako, sasa, unamuita AI unamwambia tekeleza kila maagizo utakayopewa na watu ninaowatawala, na mipaka yako ni hii na hii, kumbuka wewe ndio unaweka mipaka.

AI inachukua ulizo lako na kuchakata data zilizopo na kulinganisha na lipi litakuwa jibu la swali lako.

Ni kutokana na data zilizopo, ndio inafanya yale inafanya, haitengezi kitu kipya.

Ni ngumu AI kumreplace binadamu, ni kitu cha msaada.
 
Leo kuna habari nilikua nafuatilia kuhusu shule moja ya kufundisha maroboti huko China, sasa katika maoni ya wachangiaji wakaonesha hofu zao kwa maisha yetu ya baadae kwamba kadri tecnolojia inavyokua, haya maroboti yakishirikiana na mfumo mzima wa mawasiliano yataweza kujizalisha yenyewe, kujifunza hisia za kibinadamu na kuanza kuhoji lengo la maisha kitu kitakochopelekea sintofahamu kubwa duniani.
Watu wachache waliojitetea kuhusu hawa watu bandia walisema kama wewe ila wakawa tofauti kidogo kwa kusema; hizi robot haziwezi kutusumbua sababu ikitokea tutakata umeme,tutaharibu mawasiliano nk bila kujua wakati huo akili mnemba itakua inacontral kila kitu

Waonaje hili?
Hili suala ukiwauliza wataalam wa programu na computer engeering wanaweza kutoa jibu sahihi. Robot ni kama software tu yenye physical shape. Hata JF kwa namna inavyooperate ni kama AI maana iko automated,

Mimi naona labda kama itokee developer wa hizo robot aamue mwenyewe kuharibu mambo, lakini maisha yoote ya powerful robot yapo stored kwa server, so anaweza kuzimwa anytime.

Unachosema pia ni kweli, lakini kila hatua ya maendeleo ya robot huwa inachunguzwa na wanapompatia data au anapojifunza, the way anavyofikiri taarifa zote zinapokelewa kwao wamiliki hivyo wanajua namna ya kufanya ili aendelee wanavyotaka wao

Sure upo kweli 💯
 
AI ni sawa na wewe ni Mfalme, na AI ni kijana wako, sasa, unamuita AI unamwambia tekeleza kila maagizo utakayopewa na watu ninaowatawala, na mipaka yako ni hii na hii, kumbuka wewe ndio unaweka mipaka.

AI inachukua ulizo lako na kuchakata data zilizopo na kulinganisha na lipi litakuwa jibu la swali lako.

Ni kutokana na data zilizopo, ndio inafanya yale inafanya, haitengezi kitu kipya.

Ni ngumu AI kumreplace binadamu, ni kitu cha msaada.
💯
 
Akili ya mwanadamu ni ya kipekee, cha kuzingatia kwanza hio Artificial Intelligence imeindwa na akili la binadamu, aliye tangulia ametangulia tu.

Akili ya mwanadamu ipo kwa mfumo wa kujifunza kila kila wakati, inajifunza na kugundundua magunduzi mapya.

Bado ni nadra sana hio akili undwe kuizidi akili ya mwanadamu kwa kila kitu.
Kwel kbs
 
Leo kuna habari nilikua nafuatilia kuhusu shule moja ya kufundisha maroboti huko China, sasa katika maoni ya wachangiaji wakaonesha hofu zao kwa maisha yetu ya baadae kwamba kadri tecnolojia inavyokua, haya maroboti yakishirikiana na mfumo mzima wa mawasiliano yataweza kujizalisha yenyewe, kujifunza hisia za kibinadamu na kuanza kuhoji lengo la maisha kitu kitakochopelekea sintofahamu kubwa duniani.
Watu wachache waliojitetea kuhusu hawa watu bandia walisema kama wewe ila wakawa tofauti kidogo kwa kusema; hizi robot haziwezi kutusumbua sababu ikitokea tutakata umeme,tutaharibu mawasiliano nk bila kujua wakati huo akili mnemba itakua inacontral kila kitu

Waonaje hili?
AI ni akili ya kua trained by humans.. Sema watu hawajui how machine works..
 
Akili Mnemba au Akili unde ni zaidi ya tool. Hii kitu ni tishio la kweli kwa binadamu.
 
AI ni sawa na wewe ni Mfalme, na AI ni kijana wako, sasa, unamuita AI unamwambia tekeleza kila maagizo utakayopewa na watu ninaowatawala, na mipaka yako ni hii na hii, kumbuka wewe ndio unaweka mipaka.

AI inachukua ulizo lako na kuchakata data zilizopo na kulinganisha na lipi litakuwa jibu la swali lako.

Ni kutokana na data zilizopo, ndio inafanya yale inafanya, haitengezi kitu kipya.

Ni ngumu AI kumreplace binadamu, ni kitu cha msaada.
Kabisa umesema kweli mkuu,ipo kwa ajili ya kurahisisha kazi,tokana na kile ilichotakiwa ifanye,na haina utu, upendo na hekima,itabaki hivyo siku zote.
 
Back
Top Bottom