Akili kichwaniiii

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
547
mzee mmoja kaja town wajanja wakamliza ...(kaibiwa) ile kushuka tu stendii ,, mzee kashuka kakaa chini nakuanza kulia ...????

akawatishia sasa nafanya kama nilichowafanyia wenzenu Tanga na sumbawanga....

eeeehhh.... kusikia hiyo miji wezi wakamrudishia vitu vyake ila wakamuomba afanye kama alichowafanyia tanga na huko sumbawanga .....

mzee kasema subilini yaani nililia..
 
Hao Wezi watakuwa wanajifunza tu,
Mtu mzima hatishiwi Nyau.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…