GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,638
- 108,998
Je ulimkuta akisikiliza? au baada ya kukuona Purely Talented, Charismatic Fella, 'Umefika tu' ndipo akaziweka hizo nyimbo?ndiyo uniwekee hizi nyimbo?
Mental case!.Nyimbo zenyewe ni kama zifutazo...
1. Tutatoana Roho Yarabi
2. Ujanja wa bure tu
3. Mwaka huu unalo
4. Mbabe kakutana na Mbabe mwenzake
5. Za Mwizi 40
6. Mwosha huoshwa
7. Malipo ni hapa hapa duniani
Wewe Mtani wangu wa Kisiasa mwana CHADEMA hapo Mbezi 'Goigi' Mimi GENTAMYCINE mwana CCM 'Kukutembelea' ndiyo uniwekee hizi nyimbo?