Akiba Commercial bank

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
51,003
2,000
Msaada main branch wanafungua sa ngapi na kufunga sa ngapi?
Mwenye kujua tuambiane.
Nimejaribu kuwapigia hawajapokea najua JF mnajua.
[HASHTAG]#freemaxence[/HASHTAG]
 

e nkwasi

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
384
500
Hiyo heading yako ni tofauti na binafsi nilicho tegemea kukuta kwenye habari. Well, kwa leo nitakusaidia. Week days kufungua ni 8.30am hadi 4.30pm. Saturday ni 8.30am hadi 1pm. Jumapili kwa baadhi ya branches Ubungo plaza, Tegeta, Kkoo, Kijitonyama wanafungua 10.30am hadi 2pm
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom