Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 239
mkuu naomba nikwambie ukwel, hilo tangazo uliloliona ijumaa, mimi nimemeambia chini chini tangu tarehe 16/02/2013 na mimi niliambiwa sema sikuwa na vigezo,pia nimeshindwa kupost hapa jf kwa sababu hiyo ilikuwa ni secret na sio oficial, basi nikaamua kuuza mechi. ijumaa ndio wametoa kwenye gazeti duuuu,hii inamaana kuwa zimeshajaa, ila wanatimiza wajibu. pia nawashauri tumeni kwani nisije kuwakatisha tamaa bure. asanteni
jaman wanataka mateller kwan?tujuzane jaman!
jaman wanataka mateller kwan?tujuzane jaman!
wamegoma kusema, wanapunguza ushindani