Akaunti yangu ya TCU inasumbua kufunguka

Akaunti yangu ya TCU inasumbua kufunguka

Fadplatnumz

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
97
Reaction score
13
Habar wakuu..
TCU mbona inazingua sana kufunguka na nyie wenzangu ni hivo? Au kuna link special ya kuingilia? Kama IPO ntumien wadau maana hapa ful pressure
 
Habar wakuu..
TCU mbona inazingua sana kufunguka na nyie wenzangu ni hivo? Au kuna link special ya kuingilia? Kama IPO ntumien wadau maana hapa ful pressure
Link ni hiyo hiyo ila naona saiv watu wengi wanalog in ndo maana

Tuliza presha umechaguliwa
 
Habar wakuu..
TCU mbona inazingua sana kufunguka na nyie wenzangu ni hivo? Au kuna link special ya kuingilia? Kama IPO ntumien wadau maana hapa ful pressure
Link ya Tcu ni hiyo hiyo moja ya ku Log in... Na hiyo page ni kubwa so kama vipi usikaze kutumia simu embu jaribu kutumia Computer na mtandao wenye nguvu.. Kama ikishindikana ujue page ipo lodded kuna watu wengi wana access..
 
dah yangu mimi natumia computer but ina loading tu bila kufunguka maybe tujaribu saa 9 za usiku watu watakua wachache sana
 
Watu bado hawajui watumie browser gani ambayo iko faster
Tumieni
CHROME ambayo ndo inaongoza duniani kwa kasi kubwa kuliko zote
Ukitumia OPERAMINI
Utakesha mkuu
 
Back
Top Bottom