Akaunti ya twitter ya Citizen yadukuliwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Akaunti ya twitter ya Gazeti la Citizen imedukuliwa. Uongozi umewataka wateja wake kutoamini taarifa yoyote itakayotolewa na ukurusa huo kwa sasa

Timu ya wataalamu wanaendelea kushughulikia namna ya kuirejesha.
IMG_20220320_120823_827.jpg
 
Back
Top Bottom