Kinyago namba moja wewe na wenzako mnaokimbia shule halafu mkitaraji usawa katika nafasi nyeti za uongozi. Mtaishia kupiga madufu kwenye ubwabwa wa mitaani mpaka mjitambue....
Ungekuwa unajua kujibu hoja ungetueleza kwanza ile familia ya Maranda iliyokula Bilions za EPA ni dini gani....Na wataendelea kunyea debe mpaka wafie huko, ESCROW watatakiwa kuzirudisha tu hawatafungwa kwa kuwa wengi ni wasomi wa sheria. Teheteheteheteeeeee...