makelejasitta
Member
- Jan 25, 2017
- 24
- 3
Baada ya kuahirisha mitihan ya semista ya kwanza kwa sababu ya kiafya, niliandika barua mwezi wa tatu nwaka jana ya kuahirisha ( postponement) mitihan michache lakini barua ikachelewa Kutoka kwa coordinator wa undergraduate, hivyo usajili wa mwaka huu haukuwezekana hadi matokeo ya hiyo mitihan yawekwe kwenye system ya chuo( uploading), baadae kidogo mtihani ya semester ikafika lakini bado matokeo bado hayajawekwa...hivyo sikuruhusiwa kufanya mitihan hiyo sababu ya kutoka na kitambulisho...je nifanyeje apo