Habari za muda wama JF!
Samahani. Niko na rafiki yangu ambaye yeye amehitimu diploma ya ualimu wa physics na chemistry (PCE) Lakini anahitaji kusoma course nyingine tofauti na ualimu.
Matamanio yake ni medical lab, pharmacy na radiology! Lakini wasi wasi wake mkubwa ni kwamba afadhali angekua kasoma biology!
Kwa mwenye uzoefu na exposure na hili jambo anaweza kumsaidia mawazo!
Nawasilisha