Akasome kozi gani, ana four ya 27

Akasome kozi gani, ana four ya 27

Veta umeme nta level 3 akitoka apo aombe must mechanical engineering certificate n.k
 
Wana jamii forum nina dogo langu kapata four ya 27 mnashauri akasome kozi gani chuo?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu, hilo dogo lako lenyewe halina ambition yeyote hadi sisi wanaJF tulichagulie future?
Hakuna chochote linachopenda maishani?

Hata kama, hujatuwekea matokeo yake, tutajuaje sasa kama ana D ya fizi na hesabu ili aende uhandisi au tutajuaje kama kafaulu bailoji na kemia ili aende ufamasia?

Mtu akiuliza vitu vya namna hii huwa ninashangaa sana!
 
Back
Top Bottom