Akamatwa akitaka kuchoma soko la Karume Mchikichini

Muuza Viat

JF-Expert Member
Dec 23, 2022
2,823
7,351
Leo usiku kuna jamaa alikamatwa ndani ya soko la Karume mchikichini akiwa na kidumu cha petroli. Baada ya kutishiwa kudundwa alikiri kuwa amepewa tenda ya kulichoma soko kwa ahad ya kulipwa m1 na mmoja ya mfanyabiashara wa humuhumu sokoni.

Kongole tunawapa walinzi wa soko kwa kufanikiwa kumdhibiti jamaa kabla hajaleta madhara.

Hilo suala lipo chini ya polisi na kama kawaida yao wametuahidi kuwa uchunguzi unaendelea.
 

Kumbe wanahujumiana wenyewe mwisho wa siku wakamponza Amos Makalla bure
 
huyo mfanyabiashara aliyetoa tenda hana undugu na DP WORLD kweli? anataka kupoteza ramani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…