Huyu kijana lazima atakuwa muislam
Waislamu wanafuga nguruwe? Shauri yako we waxhokoze wenye dini yao uone kivumbi
Sio kufuga kula kabisaaa
ni hatar sana hili swala la mapenzi kwa wanafunzi wa sekondari limekuwa ni janga lililo ishinda jamii
Kweli shule za bwen zinaitajika kwa wingi.
Acha uongo. Bila shaka ni wewe mwenyewe.