BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Nina mpenzi wangu tumekuwa nae muda mrefu bila kupeana wet kiss leo nikataka kujaribu kumkiss nikakutana na harufu fulani ambayo sikuipenda na nikazuga nimesahau kitu fulana ili kuepukana na hali hiyo, naomba kuuliza wakuu hivi hii hali husababishwa na nini na anaweza tibika huyu. Kwa mtazamo wake tu yuko smart lakini hali yake hiko hivyo, natanguliza shukrani kwa ushauri mtakanipa.