Ajutia kumfunga mwalimu gerezani, aomba ushauri

Duhh!!! Kwahiyo kumbe wewe ndiye ulimfuata huyo jamaa na ukamueleza awe anatoka na binti yako ??....

daahh zali limenipita hivi hivi hilo!!!! Sad sad sad !!!!

Aahh miaka 30 itoke wapi tena wakati Wazazi wenyewe mmeshatoa go ahead 'na uzazi mmenfunga Juu..... hapo tatizo hakuna kabisa
 
Umenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito
Hahaaa, kitu cha A- town umepiga mkuu
 
Dah..Pagumu sana hapo mzee,na inahitaji moyo wa chuma haswaa maana inakua kana kwamba unamhalalishia mtoto hzo mambo.Any way, maadamu the progress is satisfying basi, mengine tunamuachia mungu tu.
Mkuu kubali tu Mimi sikukosea chochote, ningemwacha atembee na vijana wa mitaani na bila kumwekea kijiti kwa nyege zake zisizokuwa za kawaida angeishia kupata mimba na ukimwi na ningepata hasara, bora Sasa amemaliza chuo kikuu, tatizo ninalolioona ni je huyo mume wake atakayemuoa ataweza kumtosheleza?, itabidi nimwambie ukweli mchumba wake ili ndoa Yao idumu
 
Mmmh hapa pagumu tena,,,,, kwahiyo bint anajua kabisa jamaa nirafiki yako nawewe ndio ulitoa hiyo ridhaa yaani wewe ndio uliwaonganisha wawe pamoja. Je bint analijua hilo kama wewe ndio uliwaonganisha? Au walikuwa namahusiano kabla bila yawewe kujua??
 
Kwa mzazi mwenzako mwenye mke na watoto asingekubali bila Mimi baba kumuomba na kumuelewesha, miaka 30 sio mchezo
 
yah huo ni ukweli
ila kudadeki mzee kibarua unacho.
so unamwita mkwe unampa shule ya "kupiga kazi kwa juhudi".kwa maslahi ya ndoa kudumu
hiv huyu binti ako anajua jinsi unavyompenda namna hiyo??

na swali ni kwamba
mpaka kufikia hatua hiyo, ulishaweza kufuatilia medical consultations na wataalam wa mambo hayo (sasa sijui kama ni ya kibailojia au kisaikolojia) na wakashauri lolote kuhusu hilo?

na mama yake na mtoto, yaan wife, mlikua na mutual agreement kufikia muafaka huo?
 
Siku nyingine washirikishage wazazi nataka kuolewa sitaki shule watakuelewa
 
Wazazi tulikubaliana Ila mke wa rafiki yangu hajui mpaka leo
 
Kabisa mkuu, hata Clinton na Monica walifanyia Ikulu ya Whitehouse... chezea genye wewe
 
Mkuu unafikiri Mimi mwenyewe nilipenda?, Omba Mungu isitokee kwa mke wako, utamuonea huruma

Mke amengiaje hapo, kwamba naye ukute ana genye zimezidi kiwango ama.... kwamba unamtafutia msaidizi unayemwamini..?

Samahani kwa lugha mbovu, chukua ujumbe tu na ufafanue kidogo.... kuhusu mke ni kwa mfano tu kama ulivyotangulia kusema.
 
Jezebel prostitute and mumma mongrel - "Gun Pon Me", Shabba Ranks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…