Ajutia kumfunga mwalimu gerezani, aomba ushauri

Baba yupo jela, mtoto yupo mtaani. No way out.
 
Kwa vyovyote story hii imelenga kuikosoa sheria inayomfunga mwanaume anyempa mimba mwanafunzi.
Siungi mkono kupigwa mimba wanafunzi lakini naamini hii sheria haijawa makini kwani mara nyingi inapotolewa huathiri watu wengi zaidi ya mkusudiwa, na mbaya kabisa inakuja kumuathiri kiumbe huyu mgeni (malaika ) anayekuja duniani.
Baba atafungwa jela
Mama atafukuzwa shule na wakati na nyumbani pia anatimuliwa,
Mtoto atakayezaliwa ana asilimia nyingi za kuja kuwa mtoto wa mtaani kwa kukosa malezi mazuri. Sheria hii kwa namna nyingine huzalisha wahalifu wengi kama panya road, vibaka nk. katika jamii
Nafikiri ni wakati muafaka sasa kwa wahusika wa sheria kuifanyia marekebisho Sheria hii hasa vipengele vya adhabu.
 
Umenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mke amengiaje hapo, kwamba naye ukute ana genye zimezidi kiwango ama.... kwamba unamtafutia msaidizi unayemwamini..?

Samahani kwa lugha mbovu, chukua ujumbe tu na ufafanue kidogo.... kuhusu mke ni kwa mfano tu kama ulivyotangulia kusema.
Hilo ni tatizo la hormonal imbalance linatokea kwa watoto wetu wakifikia umri wa kubalehe au kuvunja ungo au watu wazima wanapofikia miaka 50 au zaidi, tatizo hili linaweza kutokea mapema zaidi, kwa maelezo zaidi guugo
 
Kama ni ya kweli haya akate rufaa na ni vyema akatafuta ushauri wa kisheria maana anaweza kufugwa yeye.
 
Mbona katika uandishi wako unatumia nafsi ya kwanza na nafsi ya tatu kuelezea mhusika ambaye anaonekana ni wewe na wakati huo huo anaonekana si wewe...

 
Duuuh...! Wewe baba weweeeee una moyo wa ubaba wa chuma mkuu
Mkuu hata ungekuwa wewe ungefanya hivyohivyo, ungemwacha binti yako atembee na mtaa nzima Tena wahuni, apate ukimwi na watoto, heshima ya binti yako ingeshuka, bora mtu mmoja na Sasa amemaliza chuo kikuu
 
Mkuu hata ungekuwa wewe ungefanya hivyohivyo, ungemwacha binti yako atembee na mtaa nzima Tena wahuni, apate ukimwi na watoto, heshima ya binti yako ingeshuka, bora mtu mmoja na Sasa amemaliza chuo kikuu
Umefundisha jambo mkuu. Japo inahitaji moyo
 
Mkuu hakuna anayekufaham we weka tu ukweli.walikufanyaje?
 
Ila yawezekana na mwalimu alishindwa kuvumilia si unajua tena kabinti kachanga..hahaha ila anaomba kujua kama hukumu ya ubakaji inaweza ikatenguliwa.
Inawezekana kama utakuja na concrete evidence vya ki- Science kama vile DNA ya mtoto na Baba ni tofauti kama usiku na mchana.
 
wanaotunga sheria sijui wanafikiria nini hivi unampa adhabu kubwa baba wa mtoto lakini unashindwa kumpatia mtoto mafunzo maana yake ni nini? pale moja kwa moja anayeadhibiwa ni mtoto
 
Umenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito
Aisee
 
Nadani ni stori tu hii maana mwalimu wa Physics kuzidiwa akili kijinga namna hiyo ni kitu kigumu sana.
Nimeishi nimefundisha na nimeyaona hayo sana narudia tena kanda ya ziwa ni kawaida kabisa nasema tena kawaida sana yani hii story nimeisoma japo sijui msimuliaji ila ni haijapinda hata kidogo kulingana na uzoefu wangu wa miaka nenda rudi kanda ya ziwa pole ya mwlm wanasheria watasema namna ya kufanya
 
Mkuu ni akili gani ilipaswa kutumika hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…