Imetokea wapi... Ilikuaje?Naskia hajafa amepona
Ni mjinga kabisa kazi ya kusomesha mke ni ya wazaziAache uboya huyo jamaa
Hv hajui demu asomeshwi?
Jana jama ajirusha toka gorofani kisa mapenzi jijini Kampala na hakukufa bado yuhai. Wanawake mutatumaliza
Jamaa kafanya maamuzi magumu, kaenda kazini kwa msichana wake na kumuuliza mbona mapenzi yetu yanayumba na hatuko sawa, msichana kamjibu sikupendi na sikutaki.
Katoswa baada ya kusomesha tangu form 4 mpaka chuo.
View attachment 394098 View attachment 394099
Hapo ni ndugu yangu hilo ni jengo la Red cross linatazamana na bibi titi mohamed road na jamaa kapona anabedi akatoe sadak baado siku yakeHapo sio dar hilo tukio limetokea mjini kampala uganda mtoa mada umepotosha kuhusu eneo la tukio
Mkuu jamaa kapona?Hapo ni ndugu yangu hilo ni jengo la Red cross linatazamana na bibi titi mohamed road na jamaa kapona anabedi akatoe sadak baado siku yake
Sidhani kama kapona huyoHapo ni ndugu yangu hilo ni jengo la Red cross linatazamana na bibi titi mohamed road na jamaa kapona anabedi akatoe sadak baado siku yake