Game super market wametoa nafasi za kazi nafasi ya manager 2, mwasibu 2 , supervisor 2 , wauzaji wa kawaida 30 , managers , mwasibu na supervisor vigezo ni diploma au degree nafasi zilizobaki vigezo ni kidato cha nne, wanapatikana mlimani city, quality center benjamini p.o box 255575
Barua ya kuomba kazi, barua ya mtendaji wa mtaa bila kusahau wadhamini 3
Barua ya kuomba kazi, barua ya mtendaji wa mtaa bila kusahau wadhamini 3