gbrill Member Joined Oct 20, 2014 Posts 11 Reaction score 2 Apr 14, 2022 #1 Mwenye kujua au anaefanya udereva wa magari kwenda nchi jirani/mpakani mfan;Tunduma maarufu kama (IT) msaada namna ya kujiunga na kazi. Mimi ni dereva ninataka kufanya kazi hiyo. Kwa sasa ni mwanfunzi chuo
Mwenye kujua au anaefanya udereva wa magari kwenda nchi jirani/mpakani mfan;Tunduma maarufu kama (IT) msaada namna ya kujiunga na kazi. Mimi ni dereva ninataka kufanya kazi hiyo. Kwa sasa ni mwanfunzi chuo