Sir Prudence New Member Joined Oct 10, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Nov 17, 2018 #1 Je kwa Tanzania mtu akisoma Biotechnology and Laboratory Science anaweza kufanya kazi seemu/sector zipi?Ahsanteni.
Je kwa Tanzania mtu akisoma Biotechnology and Laboratory Science anaweza kufanya kazi seemu/sector zipi?Ahsanteni.
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 4,021 Reaction score 9,575 Nov 17, 2018 #2 mpaka unasoma hiyi course na unagraduate bado hujajua utaenda kufanya kaz ya namna gan khaaaa! Mungu tusamehe
mpaka unasoma hiyi course na unagraduate bado hujajua utaenda kufanya kaz ya namna gan khaaaa! Mungu tusamehe
Sir Prudence New Member Joined Oct 10, 2018 Posts 2 Reaction score 0 Nov 17, 2018 Thread starter #3 Mtemi mpambalioto said: mpaka unasoma hiyi course na unagraduate bado hujajua utaenda kufanya kaz ya namna gan khaaaa! Mungu tusamehe Click to expand... Nimeulizwa ndugu
Mtemi mpambalioto said: mpaka unasoma hiyi course na unagraduate bado hujajua utaenda kufanya kaz ya namna gan khaaaa! Mungu tusamehe Click to expand... Nimeulizwa ndugu
Chabrosy JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 2,652 Reaction score 3,192 Nov 17, 2018 #4 hospitali unakuwa fundi vifaa wa mahabara... mara nyingi ina soko sana iyo ukimaliza tuu ukosi ajira iyo na maswala ya X ray...
hospitali unakuwa fundi vifaa wa mahabara... mara nyingi ina soko sana iyo ukimaliza tuu ukosi ajira iyo na maswala ya X ray...
Chabrosy JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 2,652 Reaction score 3,192 Nov 17, 2018 #5 Umelenga hapo dogo bonge la kozi ilo