Ajira

Plz wana safu tusaidiane kwa yyt anae fahamu nafasi za ajira sehemu nasi tujikwamue mana hali ngumu
Jitahidi kueleza kwa undani zaidi ...

Mfano . #1. Kazi gani unayoiomba

#2. Wasifu wako eg Elimu

#3. Makazi yako

#4. Mengineyo


Pia usiombe kwakuwa una ugumu wa maisha bali omba kazi kwakuwa una uwezo wa kufanya ... Hutapewa ajira kwakuwa una ugumu wa maisha bali kutokana na uwezo wako.


Asante sana¡
 
Nina 20 yrs elimu 4 kidato channe nilibahatika kwenda five ila kwa sababu za kifamiliar nimeishia 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom