Ajira zimeota mbawa

Ajira zimeota mbawa

Shamba nalo hakna mkuu? Maana ajira na uhakiki bado kitandawili waweza kusubr mpaka ukazeeka!
 
Mwenyekiti wa bodi sio kazi, huwezi ishi kwa posho ya uenyekiti wa bodi hata ingekuwa 5m kwa kila kikao.
 
Bado uhakiki wa itikadi za vyama,makabila,dini na vyeti vya ndoa yaani bado sanaa.
 
2020 naona mbali sana ..kuomba uzima tu na kutokengeuka
 
Walimu wa sayansi ngazi ya stashahada na shahada, wauguzi na waganga kwa uchache wapo wanasubiri kupangiwa vituo vya kazi. Taratibu tunakuja kwa kada zingine,
 
subirini boeing 787 mwaka 2018 mtaajiriwa tu kama mapilots na cabin crew
 
_20161220_075540.JPG

Habari Leo la 20/12/2016
 
subirini boeing 787 mwaka 2018 mtaajiriwa tu kama mapilots na cabin crew
Haya mandege sasa nani atapanda Kama nguvu kazi ipo mitaani hivi. Waliahidi kila kijiji kupatiwa maji mwaka Jana wakati wa "Ndiyo Mzee"
Pamoja na 50ml. Au ndo tusubiri kila kitu 2020?
 
Rais amteua profesa wa chuo kikuu kiwa mwenyekiti wa bodi.
Rais amteua mkuu wa wilaya kuwa mwenez wa ccm taifa.
Hizo sio ajira????????
Waache wenye matumbo wapeane kazi nyie wengine ni taka taka no body cares for you.!!!
Tukutane 2020
Tunaifuatilia hii ID kwa Ukaribu
 
Rais amteua profesa wa chuo kikuu kiwa mwenyekiti wa bodi.
Rais amteua mkuu wa wilaya kuwa mwenez wa ccm taifa.
Hizo sio ajira????????
Waache wenye matumbo wapeane kazi nyie wengine ni taka taka no body cares for you.!!!
Tukutane 2020
We are monitoring this ID.
 
Back
Top Bottom