Ajira zatema? vijana Andaeni CV

Ajira zatema? vijana Andaeni CV

Kama Juma Maharagwe mwenyewe alidanganya,sembuse wewe.Watumwa watarajiwa endeeleni kula hewa kwanza.
 
watu wanadanganyika kirahisi sana hasa walimu yani mikopo yenyewe watu wamekosa dalili kabisa kuwa pesa hamna. wanafunzi wenyewe bado wiki tatu wafunge likizo ya December kuna kuajiriwa hapo?
 
Naona unacheza na mioyo ya watu

Kama manji anavyotaka kucheza na mioyo ya watu
 
Kwani uko nyuma ajira zalikuwa zinatolewa kwa "itikadi za vyama vyenu". Mbona unatanguliza uongo
 
Kwa habari yenu ni kuwa kuanzia wiki ijayo zaidi ya nafasi 70000 zitatangazwa na vijana wote bila kujali itikadi za vyama vyenu mtaruhusiwa kuapply.

OVER
Kwani uhakiki umefikia deadline
 
Back
Top Bottom