Ajira zatema? vijana Andaeni CV

Ajira zatema? vijana Andaeni CV

Mxichuu watu uku mnapenda kurusha roo wenzenu akat uhakiki mpya ndo kwanza umeanza izo ajira iyo wiki ijayo veeepeeee tushajizoelea sie
 
Ngojea niakiki na vyeti vyangu huyu msukuma si wamchezo mchezo.
 
Sawa wataandaa CV zao....pia wakune heslb wawape watoto mikopo basi...wanasubiria batch ya pili itoke....
 
Mleta uzi kauliza swali maana ameweka alama ya kiulizo
 
Ndo mana nawaambia wasimbishie usikute prezda shaur zao
Mnaota? Mkulu ameelemewa na kitu kinaitwa "wage bill" na ndio maana anapambana na watumishi walio kwenye payroll ili kupunguza huu mzigo wa mishahara, wakati huo huo ninyi mnajipa moyo kuwa ataajiri hv karibuni!
 
Back
Top Bottom