Ajira zatema? vijana Andaeni CV

Ajira zatema? vijana Andaeni CV

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,276
Reaction score
2,435
Kwa habari yenu ni kuwa kuanzia wiki ijayo zaidi ya nafasi 70000 zitatangazwa na vijana wote bila kujali itikadi za vyama vyenu mtaruhusiwa kuapply.

OVER
 
Kwa habari yenu ni kuwa kuanzia wiki ijayo zaidi ya nafasi 70000 zitatangazwa na vijana wote bila kujali itikadi za vyama vyenu mtaruhusiwa kuapply.

OVER
Nikweli haina ubishi.
 
guzman_ acha kuwarusha watu roho. Tema mate chini nikuamini Tema mate chini
 
Mkinywa mabanana na viroba mnakuja kuwarusha Vijana wa watu roho,Mods sijui hamuoni
 
Big up mkuu hiyo taarifa ni muhimu sana kwetu yakitimia hayo uliyoandika hapo uaminifu utaongezeka katika taarifa zako
 
Back
Top Bottom