Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,515
- 11,383
Mnapanikisha vijana, PDF haijatoka lakini mshawaambia tarehe ya kuripotiTar 1 ni kuripoti
Mnapanikisha vijana, PDF haijatoka lakini mshawaambia tarehe ya kuripotiTar 1 ni kuripoti
Na wewe ume apply ?well bado tunasubiri
Nicheki pm nikupe mchongoAisee tusubiri tuuu, basi mm siku ishu zikitoka unakuta sipo online sjui kwann[emoji23]
Hapana mkuu, ni siku mbili. Siku ya kwanza huwa inavuja kwanza. Kesho yake tamisemi wanakanusha kwa kusema ni "fake". Kesho kutwa yake tamisemi wanatoa ya kwao ambayo mara nyingi huwa haipishani sana na ile feki. Hivyo mtoa mada ukishaanza kuona fake news....fake news...ujue mambo tayari yameiva. Mzigo utaanchiwa muda wowoteSiku moja kabla ya ajira kutoka Tamisemi uwa wanatangaza
Ila Bongo bana Mambo hovyo hovyoHapana mkuu, ni siku mbili. Siku ya kwanza huwa inavuja kwanza. Kesho yake tamisemi wanakanusha kwa kusema ni "fake". Kesho kutwa yake tamisemi wanatoa ya kwao ambayo mara nyingi huwa haipishani sana na ile feki. Hivyo mtoa mada ukishaanza kuona fake news....fake news...ujue mambo tayari yameiva. Mzigo utaanchiwa muda wowote