Ajira za Wizara zinatoka lini?

Ajira za Wizara zinatoka lini?

Abdul kalaam

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
446
Reaction score
568
Habari za mchana wakuu.

Naomba kuuliza mwenye kujua lini post za wizara ya afya zinaweza kutoka.

Na vigezo gani wanatumia kuchagua?
 
Connection unayo?

Kama hauna ya nini kujiumiza akili bure?
 
Aisee tusubiri tuuu, basi mm siku ishu zikitoka unakuta sipo online sjui kwann[emoji23]
 
Nafasi tayari zimeshajaa. Walioomba kupitia tamisemi ni wengi kuliko wanaohitajika hapa nchini. Hivyo za wizara zikitoka ni mbili tatu kuhitimisha protocal na ni nafasi nyeti
 
Back
Top Bottom