R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,977 Reaction score 104,399 Sep 9, 2018 #1 nauliza mbona vijana wote wamerudi nyumbani? Kuna nini? hakuna ajira lilikuwa danganya toto?
FUTURE HUNTER JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 2,112 Reaction score 2,822 Sep 9, 2018 #2 Wanasubiri hela ya kujikimu na cheque namba.vyuma mzee
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,977 Reaction score 104,399 Sep 9, 2018 Thread starter #3 FUTURE HUNTER said: Wanasubiri hela ya kujikimu na cheque namba.vyuma mzee Click to expand... Nadhani wanadanganywa, hakuna ajira huu ni mchezo anaucheza Jiwe kuwaweka watu sawa! Utaniambia. naona binti mmoja hapa mtaani alikwenda akaambiwa hela bado njoo after 2 wks. Akaenda wakamwambia kama anataka aende kituo cha kazi ajitegemee
FUTURE HUNTER said: Wanasubiri hela ya kujikimu na cheque namba.vyuma mzee Click to expand... Nadhani wanadanganywa, hakuna ajira huu ni mchezo anaucheza Jiwe kuwaweka watu sawa! Utaniambia. naona binti mmoja hapa mtaani alikwenda akaambiwa hela bado njoo after 2 wks. Akaenda wakamwambia kama anataka aende kituo cha kazi ajitegemee