Ajira za watumishi 2016/2017

Hii serikali haieleweki na kwa jinsi walivokaa kimya hivi hawana mpango wa kuajiri mwaka huu maana wanajificha kwenye muavuli wa zoezi la uhakiki
 
Jamn kama unataka kuadiwa kwenye group la wahanga wa ajira weka namba ako au nitext kwenye 0786520885 uwe member
 
Suala la ajira halijulikan had leo so tulizia tuu hadi hapo mambo yatakavokuwa wazi
 
Yaan nina hasira na hivyi nepata hasara katika biashara na hiyo pesa yachuo yaan natamani kuwaona Al shabaab....daah huo mshahara wa miez mitatu ningefidia kwenye biashara zangu aki yanani ntajeruhi mtu
 
Tatizo sio ajira Tatizo mambo hayaeleweki Mara bughet Mara database mara ziada ya walimu Mara ukaguzi Mara walimu arts kuamishiwa msingi huu ni uongo Jaffo sisi sio watoto kakae chini tunataka majibu yenye mashiko
 
Hakuna kitu nachukia kama mtu anawaza kuajiriwa. Kwann usijiajiri. Mm nimwaka wa 3 since nimemaliza chuo kikuu sijawahi kuandika job application letter nafanya biashara na ninatengeneza pesa mbaya
 
Wameshaajiriwa Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya pamoja wakurugenzi wa Halmashauri wengi ni ajira mpya
 
Wengine subirini kumalizike ule "utafiti wa tathimini ya kazi"
 
wasiwasi wanguni pale jaffo aliposema watawahamisha walimu waziada kwenda primary...je wale wapya wataenda wapi? je walimu wote wa art dip na gegree wataajiriwa primary? je wale wacertificate wataenda wp? ni linzoez hilo litakanlika? asee its so sad
 
wasiwasi wanguni pale jaffo aliposema watawahamisha walimu waziada kwenda primary...je wale wapya wataenda wapi? je walimu wote wa art dip na gegree wataajiriwa primary? je wale wacertificate wataenda wp? ni linzoez hilo litakanlika? asee its so sad
Hapo ndo kuna umuhimu wa kutumia silaha maana maneno tu na kuandamana M@gu anajivunia jeshi mtaani watafanya mazoez hadi majalalani...
 
Jamani mwezi wa nne tangu ajira zisitishwe 13 june 2016 na hakuna taarifa mpya na aliesitisha anashindwa kujitokeza hadharani kuweka wazi maana hali ni ngumu mtaani
 
Waziri wa Tamisemi tunaomba mtuweke wazi kama ajira zitatoka lini maana mnatutesa sana maumivu yake ni zaidi ya mwanafunzi aliyepigwa mbeya sisi tumeanza kuisoma namba toka mwaka jana na huu unaenda ukingoni na hakuna kauli yeyote ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…