Ajira za watu wa information technology (IT)

Tanzanian kid

Member
Joined
Apr 1, 2025
Posts
98
Reaction score
143
Habari za muda huu watu wa JF.
Samahani kwa kuwachosha pia poleni na majukumu ya kazi za hapa na pale

Nauliza kuhusu nafasi za kazi kwa mtu aliyesoma diploma ya information technology au degree maana nimepitia nyuzi nyingi sana humu sijaona wakiongelewa huenda wengi wamejiajiri tofauti na walio ajiriwa makusudio ni nafasi za ajira kwa serikalini kwa watu wa IT
 
Tuonyeshe uwezo WAKO
 
Wewe umejikita kwenye sector ipi ya IT. Maana uwanja ni mpana.
 
Back
Top Bottom