Hawawataki mbona wameandika hapo fani ya elimu nta level 5 au ni waongoTatizo tuliosomea fani ya ualimu hawatutaki,
Umesema kweli mkuu, tatizo bila connection hakuna kitu kumbuka viongozi au maboss huko Halimashauri wana watu wao tayari mpaka upate yaani sio rahisiWe apply kiongozi,hizi kazi wakati mwingine huwa ni kama ticket ya kufikia kule unapotaka kwenda. Good luck
Namimi Natafuta ajira mkuu Naomba nisaidie!Habari,
Kuna nafasi za kazi kwa watendaji wa vijiji kujaza nafasi 98. Changamkia wewe mwenye kuhitaji.
Zikitoka nafasi unabidi kuomba then andaa na connection ili uingie kwa job hizo Kazi za 700k sio Kazi in such lakin unaweza Kupata mtaji wa kukufanya Kupata Biashara ya maana so yangu ndo hayo , sabato njemaNamimi Natafuta ajira mkuu Naomba nisaidie!