Mkonongo
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 313
- 189
Amani kwenu wanafikra.
Imepita miaka mitatu mfululizo sasa tangu serikali iache kuajiri maafisa kilimo(agro-technicians), psrs wanatoa matangazo ya mara kwa mara kwa fani zingine za kilimo lakini si agro technician. Je ni nini hatima ya hawa wahitmu wa Agro-mechanisation?? Hii sera ya kilimo kwanza inatekelezwaje??