Ajira za walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira za walimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mr.creative, Jan 1, 2012.

 1. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamani vp? kuna lolote la kuridhisha kuhusu ajira za walimu wapya?
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  m2 wangu subiri kidogo bac mbona una haraka utafikiri unaoga nje, january sii hii hapa, sasa.
   
 3. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Tutasubiri saaaaaaaaana.
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  haukusoma mwanahalisi la wiki 2 zilizopita? serikali imesema itaajiri walimu mia nne tu, piga esabu n walimu wangapi wamemaliza na nimiaka mingapi hawajaajiliwa then piga pobability ya wewe kupata ajira
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mkuu endelea kusubiri mkiajiriwa mtalipwa nini serikali imefulia
   
 6. d

  dada jane JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona majibu mepesi kwenye maswala magumu? Yaani serkali imefulia so what
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Haina pesa au mnataka muilazimishe serikali iwakope muanze migomo isiyo kuwa na tija?
   
 8. b

  batadume Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kaka endelea kusugua bench uc ogope
   
 9. pepim

  pepim JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hey ngoja ngoja bwana...Hata wenzio 2lichomeshwa mahindi sana 2010 mpaka 2011 januari...Hivyo bac ajira za walimu zipo ila ni baadaye sana,sababu fedha zenu za kujikimu wamejiongezea posho.....Kama huwezi ngoja tafuta shule binafsi ukainue kizazi huko, kama serikali ikikukumbuka utapima mwenyewe kwenye maslahi zaidi ya sasa na ya baadaye....Mwenzio nilivyoona waki2zingua nilikimbilia private na mpaka sasa bado nipo huko nakula bata aisee.
  ANGALIZO:Kuwa makini c kila private inawajali wafanyakazi wake vizuri,fanya uchunguzi kabla ku2ma ombi la kazi.
   
 10. h

  henry mramba Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh! kwel ajira za walimu imekua kama wimbo wa taifa.
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ajira zitatangazwa hivi karibuni, ila jiandaeni kwenda mikoa ya kusini.
   
 12. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ila sio pss....teh teh teh! Vp mkuu? Hap nu year!!
   
 13. h

  henry mramba Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi karibun lini? na utuambie umezitoa wap? habari hizo
   
 14. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  your statement haipimiki since it is not SMART
   
Loading...