Jamani naomba msaada kwa wale ambao wanafanya application juu ya Ajira za walimu zilizotangazwa juzi kati, Sasa nimeappload academic transcriptl lakini nikiviewe naambiwa ni nimeappload Grade A certificate,sasa hii Grade A certificate ndo transcript au? Maana sielewi,hata kwenye zile options za kuattach sijaona hiyo Grade A attachment ili nidhani kwamba nimekosea. Msaada tafadhali
Sent using
Jamii Forums mobile app